tame
adj (of animals) 1 -a kufuga, liofugwa; sio kali 2 (of person) nyonge, nyenyekevu/tiifu mno; (mild, dull, feeble) liopooza, -siochangamka, dhaifu, baridi. vt 1 fuga; tiisha, tawala. 2 (reclaim) ongoza, ondolea ushenzi. tamer n (usu in compounds) mfugaji. tamable adj -a kuweza kufugwa, -a kuweza kugeuzwa hali. tamely adv bila ukaidi. tameness n unyonge; utulivu; upole.