tall

adj 1 (of persons, objects, etc) -refu. ~ boy n (GB) kabati la nguo. 2 -a urefu maalum he is six foot ~ ana urefu wa futi sita. 3 muhali, -a kuzidi. a ~ order n kazi ngumu sana kufanya; maombi yaliyo muhali kutekelezwa. a ~ story hadithi yenye shaka; hadithi ngumu kuaminika/isiyoaminika adv talk ~ jivuna. walk ~ jivunia. ~ ish adj tallness n urefu, kimo; tambo.