tailor

n mshoni wa nguo, mshonaji, fundi cherahani. vt 1 kata na kushona. 2 rekebisha kulingana na malengo/hadhira. tailor-made adj lioshonwa na fundi cherehani; -a kupimisha; (fig) inayostahiki/faa.