tag

n 1 kishikizo: kipande kidogo kilichofungiwa kitu kingine. 2 msemo unaonukuliwa mara nyingi na watu. 3 kibandiko cha bei. 4 (gram) question ~s n kirai shawishi. 5 mchezo (wa watoto) wa kukimbizana na kugusana. vt 1 bandika (bei, anwani, n.k. 2 ~ something on (to) ambatisha, fungia. 3 ~ along/behind/after fuata karibu sana. 4 unga, unganisha.