tactic

n 1 mbinu. 2 (pl) harakati za kivita; (fig) mpango/njia/mbinu za utekelezaji wa sera. tactical adj 1 -a mpango au njia; -a namna maalum. 2 -a harakati. tactically adv. tactician n stadi wa mbinu.