tackle

n 1 (of ship's sails) kamba, ayari. 2 zana, vifaa, vyombo fishing ~ vyombo vya kuvulia samaki. 3 (rugby or American football) kumkamata na kumwangusha mpinzani; kumvaa. 4 (soccer) kunyang'anya mpira. vt,vi 1 shughulikia (jambo, kazi). ~somebody about/over something zungumza waziwazi bila kuficha jambo. 2 kamata kwa nguvu (mwizi au mchezaji wa ragbi). 3 shambulia he ~s fearlessly anashambulia vikali.