tacit

adj -a kimya; lioeleweka pasipo kunena ~agreement makubaliano ya kimya kimya he gives a ~consent anaridhia kimya kimya. tacitly adv kwa kimya, bila kusema. taciturn adj nyamavu, -a kimya, stirifu. taciturnity n unyamavu, kimya.