tabulate

vt orodhesha, pangilia, panga katika jedwali. tabulator n mashine ya kuorodhesha/kupangilia. tabulation n. tabular adj -lioorodheshwa, -a jedwali.