tablet

n 1 kibao cha kuandikia. 2 ubamba wa madini wenye maandiko. 3 padi, bunda la karatasi (zilizofungwa pembe moja). 4 kibonge cha sabuni; kidonge kidogo cha dawa (k.m. aspirini).