table
n 1 meza she is at ~ anakula. table-cloth n kitambaa cha meza. ~-knife n kisu cha mezani. ~-linen n vitambaa vya mezani. table-spoon n kijiko kikubwa cha kulia chakula. table-talk n mazungumzo ya wakati wa mlo. ~-tennis n mpira wa meza. ~-ware n vyombo vya kulia chakula. 2 (sing. only) watu waliokaa mezani. 3 (sing. only) mlo ulioandaliwa mezani he keeps a good ~ anaandaa mlo mzuri. 4 ~ (-land) uwanda wa juu. 5 orodha, jedwali, ratiba a bus time ~ ratiba ya safari za basi. 6 (phrases) lay something on the ~ weka mezani; (in parliament) ahirisha jambo (kwakipindi kisicho- julikana). turn the ~on somebody pindua mambo; unukia; shinda. 7 (in the Bible) jiwe; maandishi kwenye jiwe hilo. the ~ of the law amri kumi za Musa alizopewa na Mungu. vt 1 pendekeza. 2 orodhesha, andika/panga katika jedwali.