tab

n 1 nembo (agh. kwenye nguo), kitanzi (kinachoshonewa kwenye nguo). 2 (colloq) mahesabu, usimamizi. keep a ~ on something/somebody simamia; weka kumbukumbu; chunguza.