system

n 1 mfumo. railway ~ n mfumo wa reli. 2 utaratibu. systematic adj -a hatua kwa hatua; -a utaratibu, -a mfumo. systematically adv. systematize vt weka katika mfumo, -patia mfumo, utaratibu maalum, panga. systematization n.