syntax

n sintaksi: tawi la isimu linaloshughulikia kupanga na kuhusisha vipashio na maneno kisarufi. syntactical adj -a sintaksi; -enye kuhusu sintaksi. syntactically adv.