synonym

n kisawe: moja kati ya maneno mawili au zaidi yanayokaribiana sana katika maana. synonymous adj -enye maana (karibu) sawa, -a kuhusiana katika maana. synonymy n usawe, hali ya maneno kuwa na maana (karibu) sawa.