synod

n 1 sinodi: eneo la majimbo ya kanisa. 2 mkutano wa majimbo ya kanisa kujadili na kutoa maamuzi juu ya sera, serikali, mahubiri n.k. synodal adj -a sinodi.