syndic

n mjumbe (agh. wa chama/taasisi fulani). syndicalism n nadharia inayodai kwamba madaraka ya kisiasa yanapaswa kuwa mikononi mwa vyama vya wafanyakazi. syndicalist n mfuasi wa nadharia hiyo. syndicate n 1 ushirika wa mashirika yenye lengo moja. 2 ushirika wa wachapishaji makala/katuni katika magazeti vt chapisha (makala, katuni) katika magazeti mengi kupitia shirika fulani.