sympathy

n huruma; upole; utu wema. in ~with katika/ kwa kukubaliana na letter of ~ barua ya kuliwaza. sympathetic adj -a huruma, -pole, -a moyo mzuri. sympathetic strike n mgomo wa kuwaunga mkono wafanyakazi wenzi sympathetic pregnancy (in man) umito. sympathetically adv kwa huruma, kwa upole. sympathize vi 1 -pa makiwa, pa pole, -sikitikia. 2 onea huruma, hurumia, liwaza. sympathizer n anayeonea huruma (m) wenziye, mwenye kuwaunga mkono wenzake.