symbol

n alama, dalili, ishara. ~ic; ~ical adj 1 -a ishara. 2 -enye maana. symbolics n 1 taala za mifano (ishara) ya kale na sherehe. 2 theolojia ya kihistoria ya Kikristo. symbolize vt 1 onyesha kwa ishara, ashiria, -wa ishara ya. 2 wakilisha dhana kwa ishara. symbolization n. symbolism n 1 kuashiria, uashiriaji. 2 mfumo wa alama fulani zitumiwazo kuwakilisha kundi fulani la mawazo.