syllogism

n hitimisho linalotokana na hoja mbili (k.m. mtu ana miguu miwili, nyoka hana miguu; kwa hiyo mtu si nyoka). syllogistic adj syllogize vt hitimisha kwa mantiki.