syllable

n silabi. syllabary n orodha ya viwakilishi vya silabi (k.m. katika Kijapani). syllabic adj -a silabi. syllabicate; syllabize, syllabify vt taja neno kwa silabi moja moja, gawa katika silabi. syllabification n kugawa katika silabi.