swot

vi,vt 1 ~(for something) bukua, soma/ somea sana; jiandaa kwa kusoma sana. ~ something up somea sana n 1 mbukuaji. 2 kazi nzito.