sword

n 1 upanga; kitara. the ~of justice upanga wa haki. cross ~ with somebody (fig) gombana na. draw/sheath the ~ (rhet) anza/maliza vita. put to the ~ (rhet) ua. at the point of the ~ kwa kutishwa. ~-arm (usu) n mkono wa kulia. sword-bearer n (hist) mbeba upanga wa mfalme. ~-belt n mkanda wa upanga. ~-cane/~ stick n upanga wa ala/fimbo ya upanga. ~-cut n jeraha la upanga; pigo la upanga. ~-dance n hanzua, tari, mchezo wa sime. ~-fish n chuchunge. sword-play n mchezo wa kupigana kwa upanga; (fig) malumbano. swordsman n askari/mtu hodari wa kutumia upanga. swordsmanship n ustadi wa kupigana kwa upanga.