swop

vt (also swap) (colloq) badili mali kwa mali. ~market n soko la mali kwa mali; mali kwa mali. ~ yarns simuliana hadithi za matukio. ~ places with somebody badilishana nafasi. don't ~ horses in mid-stream (prov) usifanye mabadiliko wakati wa msukosuko n ubadilishanaji (wa mali kwa mali).