swoop

vt,vi 1 ~ (down) (on) shuka kwa kasi kutoka angani (kama tai, kipanga), chupa, ruka chini. 2 ~ something up pokonya, pora n kuchupa, kushuka kwa kasi (kama ndege, tai, kipanga atokapo angani); ruko la ghafula. at one (fell) ~ kwa dharuba moja.