switch

n 1 ufito, mchapo. 2 swichi. 3 mtambo wa kubadilisha njia za reli. ~-engine n injini ya kuunga mabehewa. ~-man n mbadilisha njia ya reli. 4 (of hair) kishungi bandia, mwengo, mgwisho. 5 ~-back n (of railway) reli za mteremko mkali katika viwanja vya michezo; (of roads) barabara yenye vilima vingi. 6 badiliko, uhamisho vt 1 ~ on washa, fungua. ~off zima. 2 ~ somebody on (sl) sisimua. 3 (of railway) geuza njia, hamisha njia. 4 ~(to); ~ over to badili, hamia. 5 chapa kwa fito. 6 geuka ghafla; pokonya.