swing

vt,vi 1 bembea, bembeza; pembea. ~ for somebody/something (colloq) nyongwa (kwa kuua). no room to ~ a cat in (of an enclosure) nafasi ndogo sana. 2 tembea/kimbia kwa/ bila ukakamavu. 3 cheza/ chezesha dansi au ngoma (sl) changamka, fuata mambo ya kisasa. 4 geuka, geuza, enda upande. 5 pembea n 1 kubembea. 2 mdundo. go with a ~ (of music, poetry) wa na mdundo mzuri; (fig) (of an event, entertainment, etc.) endelea vyema/ bila matatizo. be in full ~ pamba moto. 3 bembea, pembea. swinging adj (sl) (of persons) -a kisasa, changamfu; (of events, entertainment etc) -a kuburudisha. ~-door n mlango wa kufungulia upande wowote.