swindle

vt ~ something out of somebody; ~ somebody of something tapeli, ghilibu, danganya, laghai ~ money out of somebody tapeli; chukulia mtu fedha zake kwa ulaghai n ujanja, hila, ulaghai; kitu kilichouzwa ambacho hakina thamani iliyotajwa. swindler n. ayari, dhalimu, laghai.