swim

vt,vi 1 ogelea. ~ with the tide/ the stream fuata mkondo/ mkumbo. ~ming bath/pool n bwawa la kuogelea. ~ming costume/suit n vazi la kuogelea. ~ming trunks n vazi la kiume la kuogelea. 2 vuka kwa kuogelea; shindana (na mtu) kuogelea. 3 ~ with; ~ in/on jawa na.4 ona kizunguzungu, sulika, shikwa na gumbizi; zunguka (zunguka) n 1 kuogelea. 2 the ~ n matukio ya wakati uliopo, mambo yanayotokea sasa. be in/out of the ~ wamo ndani ya, shiriki/- toshiriki, fahamu /-tofahamu mambo yanayotokea sasa. swimmer n mwogeleaji. ~imingly adv bila matatizo; vizuri kabisa.