swell

vi,vt 1 ~(up) (with) vimba, tuna, vimbisha, tunisha. 2 have /suffer from a swollen head jivuna; -wa na kiburi, vimba kichwa swollen headed -enye kiburi. 3 ~ (out) tanuka, vimbisha n 1 mvuvumko. 2 (sing only) mawimbi makubwa (baada ya tufani). 3 (dated colloq) mlimbwende, mtanashati. come the heavy ~ over somebody (sl) jifanya maarufu ili kuweza kushawishi (mtu), jidai adj (US colloq) 1 -malidadi, -tanashati. 2 bora/sana, -a kiwango cha juu. swelling n 1 uvimbe. 2 nyongeza, ziada.