sweet

adj 1 -tamu. have a ~ tooth penda vitu vitamu. ~wine n mvinyo mtamu (wenye ladha ya matunda). 2 -a kupendeza, zuri, -a kuvutia. a ~ voice n sauti ya kuvutia. 3 safi keep a room ~ weka chumba katika hali ya usafi. 4 -a kunukia, -a kufiridi (to) smell ~ (ku) nukia vizuri. ~ scented adj -enye kunukia. 5 (phrases) at one's own ~ will apendavyo mwenyewe. be ~ on (somebody) (colloq) penda sana. 6 (compounds) ~ bread n kongosho la ndama au kondoo. ~briar/brier n waridi mwitu. ~ corn mahindi matamu. ~ heart n mpenzi. ~ meat n halua. ~ potato n kiazi kitamu. ~ tempered adj -tulivu, -pole n (US) peremende, lawalawa, tamutamu (chokoleti). 2 (US ~ dessert) chakula kitamu, agh pudini. 3 (pl) furaha, anasa, maraha. 4 mpenzi, kipenzi. sweetly adv. sweetness n. sweetish adj. sweeten vt,vi tia utamu, tia sukari, koleza; -wa tamu; geuka kuwa -tamu. sweetening n kikoleza utamu. sweetie n 1 tamutamu, lawalawa. 2 mpenzi, kipenzi. sweety n 1 peremende. 2 mpenzi.