sweat

n 1 jasho. ~-band n utepe (wa kofia wa kunyonya jasho). ~ shirt n fulana ya jasho. 2 a ~ n hali ya kutokwa jasho. be in a cold ~ kuwa katika hali ya woga na wasiwasi. all of a ~ (colloq) wa/loa chepe kwa jasho; (fig) wa na woga na wasiwasi. 3 (colloq) kazi ngumu, sulubu. 4 an old ~ n (sl) askari mkongwe wa kazi. 5 majimaji, unyevu vt,vi 1 toa/toka jasho. 2 toa kitu. ~ blood (fig) fanya kazi kama punda. ~ out a cold ondoa mafua. 3 toza jasho. 4 fanyisha kazi ngumu, himiza, nyonya. ~ed goods n matunda ya jasho /kazi ngumu. ~ed labour kazi ya malipo ya unyonyaji/dhuluma. sweaty adj -iliyojaa jasho; -enye kutoa jasho.