swear
1 vt,vi 1 apa, kula yamini. 2 apisha. ~ somebody in apisha mtu, lisha kiapo. ~ somebody to secrecy apisha kuweka siri. ~ a witness apisha shahidi. sworn enemies n maadui wa jadi. sworn friends n masahibu. 3 ~ by something apia kama shahidi; (colloq) tegemea; jetea. ~ off (colloq) apa kuacha. ~ to something apa kabisa, sema kwa dhati. vt ~ (at somebody) laani, apiza; tukana n kutukana. swearer n mwapizaji; mtukanaji. swear-word n (neno la) tusi.