swarm

swarm

1 n kundi kubwa la wadudu/ ndege n.k. a ~of bees bumba la nyuki vi (of bees) enda pamoja katika kundi. 2 be ~ing with; ~ with songamana, jawa na the region ~s with locusts eneo limejaa nzige. 3 wa kwa wingi, songamana, tembea katika kundi.

swarm

2 vt ~ (up) paraga, sombea, paramia.