swan

n bata maji (wa shingo ndefu). ~dive n mbizi ya mbayuwayu. ~ song n tendo/wimbo wa mwisho (kabla ya kustaafu/kufa). ~ 's down n manyoya mororo aina ya bata; kitambaa chenye manyamunyamu vi (colloq) ~ off/around enda matembezi, zurura, randaranda.