swamp

n kinamasi vt 1 jaza maji, tapakaza maji, tosa majini. 2 (with) (fig) lemewa na, lemea, zidi, zidiwa na I am ~ed with work nimelemewa na kazi. swampy adj -a majimaji, -a kinamasi, - a topetope.