sustain

vt 1 chukua, himili. 2 patwa na/pata (tatizo). 3 (leg) kubaliana na, toa idhini, idhinisha. 4 fululiza, endeleza. sustenance n 1 riziki. 2 mlo.