suspicion

n 1 shaka, wasiwasi, tuhuma. above ~ sioweza kutiliwa shaka, -a kuaminika. 2 a ~ (of) dalili ya mbali. suspicious adj -enye shaka, -a kuleta shaka, -a kutuhumu, a wasiwasi. be/become/feel suspicion (about/of somebody) tilia shaka. suspiciously adv.