susceptible

adj 1 -enye kuathirika kwa urahisi (na hisia). 2 -epesi kuhisi. 3 ~ of -enye kuweza. ~ of truth -enye kuweza kuaminika. susceptibility n 1 uathirikaji. 2 wepesi wa kuhisi.