survive

vt,vi 1 endelea kuishi (baada ya maafa), okoka, ponea chupuchupu. ~ one's usefulness endelea kuishi/ kushika nafasi bila manufaa; baki, salia. survivor n mwenye kuokoka, msaliaji. survival n 1 kusalia, kupona, (hali ya) kuendelea kuishi/kudumu. 2 (remainder) baki, masalio, masazo survival of rights kudumu kwa haki.