survey

vt 1 aua, tazama, kagua. 2 pitia (kwa jumla). 3 pima ramani, pima kwa kuhesabu. 4 kagua jengo, shamba, n.k. n kutazama mandhari, uchunguzi, kupima; mapitio. surveying n upimaji wa ardhi. quantity ~ing n ukadiriaji majenzi. ~ or n mkaguzi wa mizani na vipimo, barabara, n.k. mkadiriaji (majenzi, ardhi, n.k.).