surrogate

n naibu, makamu, badala (hasa wa askofu anayeweza kutoa leseni ya ndoa bila matangazo mara tatu). ~ mother n mama mwenye kuchukua mimba kwa ajili ya familia nyingine.