surrender

vt,vi salimu amri, jisalimisha, kubali kushindwa the rebels have ~ed waasi wamesalimu amri. 2 acha. ~ one's rights acha kupigania haki. ~ to justice jitoa mbele ya sheria ili uhukumiwe. 3 ~ (oneself) to jiachia n kusalimu amri, kujisalimisha, kujitoa, kuacha. ~ value n thamani ya kufunga bima.