surprise

n 1 mshangao, mastaajabu, mzimbao cause ~ shangaza. take somebody by ~ fumania; shutukiza tokea mtu kwa ghafla (pasi na yeye kutarajia). take a town by ~ teka/shambulia mji (kwa ghafla), vamia kwa shambulio. 2 (attrib.) kitu/jambo la kushtukiza/ lisilotarajiwa vt 1 staajabisha, ajabisha, shangaza, shitusha, duwaza. 2 be ~d shangaa, ona ajabu. 3 shtukiza; fumania. 4 ~ somebody into doing something shtua, harakisha mtu afanye jambo fulani. surprising adj -a kushangaza. surprised adj. surprisingly adv. surprisedly adv.