surgery

n 1 ugangaji; upasuaji. 2 (GB) chumba/ofisi ya daktari (ambamo hutibia watu). ~ hours n saa za kuganga/kupasua. surgical adj -a kuganga; -a kupasulia; -a upasuaji. surgical instrument n zana za kupasulia. surgically adv. surgeon n 1 daktari mpasuaji. dental surgeon daktari mpasuaji meno. house surgeon n daktari mpasuaji mkazi (wa hospitali fulani). 2 daktari wa jeshi la majini.