surface

n uso the ~ of the earth uso wa dunia. 2 juu, sehemu ya juu ya kitu/maji. 3 ~ mail n barua zinazotumwa kwa njia ya kawaida. ~to air missiles n makombora ya kutungulia ndege yanayopigwa kutoka ardhini au manowarini. 4 sura/umbo la nje on the ~ kijuujuu. 5 (attrib.) -a nje, -a juu ~ politeness heshima ya kijuujuu vt,vi 1 -wa na/weka tabaka la juu ~ the road with tarmac weka tabaka la lami katika barabara. 2 (of submarine, skin diver) ibuka.