surf

n povu la mawimbi ya maji; mawimbi ya kuumuka. ~ing/~riding n mchezo wa kuteleza katika mawimbi meupe kwa ubao. ~ boat n mashua ya kusafiria katika mawimbi meupe.