sure

adj 1 -a hakika, -a yakini. be/feel ~ (about something) wa na hakika (juu ya jambo fulani). be/feel ~of something/ that wa na hakika/imani kwamba. be/feel ~ of oneself jiamini. be ~ to do something; (colloq) be ~and do something usiache/ usishindwe kufanya, hakikisha unafanya, usikose kufanya. to be ~ kwa kweli. make ~ that/of something -wa na hakika, hakikisha I made ~ that he finished the work nilihakikisha kuwa anamaliza kazi yote. 2 -a kuaminika a ~ messenger tarishi anayeaminika. ~ footed adj siyoteleza, siyo tetereka adv 1 ~ enough kwa hakika, kwa kweli. for ~ kwa hakika, hapana shaka. 2 as ~ as kwa hakika, kwa yakini; kweli tupu. 3 (colloq) (US) kwa hakika. surely adv 1 kwa hakika, bila shaka; haikosi. 2 (safely) kwa salama. sureness n. uthabiti, uhakika, kweli.