surcharge

n 1 malipo ya ziada (k.m. adhabu). 2 mzigo wa ziada. 3 mhuri wa posta unaobadilisha thamani ya stampu vt 1 toza kodi ya ziada, chaji zaidi. 2 ongeza mzigo, zidisha uzito.