supreme

adj 1 -kubwa kabisa, -a juu kabisa. 2 -enye mamlaka/uwezo mkubwa kabisa. the ~ Being n Mungu. supremacy n mamlaka ya juu kabisa, uwezo wa juu kabisa. supremacy over kuwa na mamlaka ya juu dhidi ya. supremely adv sana, mno.