suppress

vt 1 kandamiza, shinda, komesha ~ a rebellion komesha uasi. 2 ficha; zuia; zima. suppression n 1 ukandamizaji. 2 uzuiaji. suppressive adj -a kukandamiza, -a kunyamazisha. suppressor n 1 mkandamizi, mkomeshaji; kizuiaji.